• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Watumishi Watakiwa Kutumia TEHAMA kwa Usahihi

Posted on: September 5th, 2018

Watumishi wa umma katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kutumia kwa usahihi huduma na vifaa vya Teknolojia ya Habari na  Mawasiliano (TEHAMA) ambavyo ni mali ya serikali.

Akiongea baada ya mafunzo ya matumizi sahihi ya TEHAMA  kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Utawala na Rasilimaliwatu Bw. Bwai Biseko amewataka watumishi hao kuzingatia mafunzo na maelekezo juu matumizi ya vifaa na huduma hizo kwa mujibu wa miongozo ya serikali.

Aidha Biteko amewataka watumishi waliohudhuria mafunzo kuwaelimisha watumishi wengine ambao hawakupata fursa ya kuhudhuria mafunzo hayo ili kuhakikisha kuwa watumishi wote wanafahamu na kuzingati maelekezo na miongozo ya matumizi ya TEHAMA serikalini.

Mbali na maelekezo hayo Biseko ameahidi kushiriana kwa karibu na Afisa TEHAMA na Afisa Habari wa wa Ofisi hiyo ili kuhakikisha kuwa matumizi sahihi ya TEHAMA yanazingatiwa sambamba na kutoa taarifa kwa wananchi kwa kupitia TEHAMA.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 April 03, 2017
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 mkoa wa kilimanjaro wasichana December 14, 2018
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mkoa wa Kilimanjaro-2019 wavulana December 14, 2018
  • Angalia Zote

Habari

  • WAFICHUENI WANAOJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA -

    September 30, 2018
  • WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    September 29, 2018
  • KILIMANJARO YAPONGEZWA KWA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 28, 2018
  • VITA DHIDI YA RUSHWA YAOKOA MAMILIONI KILIMANJARO

    September 26, 2018
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa